Uncategorized

YANGA YAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA KUBORESHA KIKOSI CHAO

admin April 12, 2020 9:06 am

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unahitaji kusuka kikosi upya kitakacholeta ushindani kitaifa na kimataifa kwa kushusha nyota wengi wakali na wenye ujuzi.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema kuwa mpango mkubwa kwa Yanga ni kuona inakuwa na kikosi cha kipekee msimu ujao.

“Malengo makubwa ni kuona kikosi cha Yanga msimu ujao kinakuwa ni cha kipekee na chenye nguvu kubwa ya kuleta ushindani.

“Yote yanawezekana kwa kuwa tayari tumetengeneza mazingira bora ambayo yatatupa nafasi ya kufanya vile ambavyo tunafikiria na inawezekana kufikia huko mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KUTOELEWANA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply