Uncategorized

KOCHA COASTAL UNION AWATAKA WACHEZAJI KUCHUKUA TAHADHARI NA KULINDA VIPAJI VYAO PIA

admin April 13, 2020 11:57 am

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kufanya mazoezi kwa sasa kujiweka sawa licha ya kupitia kipindi kigumu.

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa na Serikali ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo  wachezaji wapo nyumbani baada ya kambi kuvunjwa.

Mgunda amesema:”Ni kipindi kigumu ambacho tunapitia kwa sasa ni dunia nzima inapambana lakini ni muhimu kwa wachezaji kuchukua tahadhari ili kujilinda na Virusi vya Corona pamoja na kulinda vipaji vyao kwa kufanya mazoezi,”.

MUUAJI WA SIMBA ABADILISHIWA MAZOEZI ISHU YA CHAMA NA KANDA YANGA WAIKOMALIA, HUYU HAPA SAUTI YA MWISHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply