Uncategorized

YANGA WAMEAMUA, SASA KUMVUTIA KASI KIUNGO HUYU MATATA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA

admin April 13, 2020 9:27 am


IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inaisaka saini ya nyota wa Kariobangi Sharks FC Yidah Sven Yidah ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho.

Nyota huyo ambaye ni kiungo raia wa Kenya anakipiga pia kwenye timu ya Taifa ya chini ya miaka 23.

Uwezo wake wa kukaba na kuzuia mashambulizi ya wapinzani inaelezwa kuwa sababu ya Yanga kuvutiwa naye na ikiwa mambo yatakwenda sawa anaweza kutua bure kwani mkataba wake unameguka mwisho wa msimu huu.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonion Nugaz amesema kuwa kwa sasa ni subira inahitajika kwani mpango mkubwa uliopo ni kusuka kikosi kipya.

BRUNO TARIMO AJIPA UBALOZI NCHINI SERBIA UONGOZI WA SIMBA WAHITAJI KUONGEZA MASHINE MBILI ZA KAZI, MAJINA YAO HAYA HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply