Uncategorized

BANDA:TUNAPIGA MATIZI KAMA KAWAIDA HUKU

admin April 14, 2020 1:27 pm


ABDI Banda, beki wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars anayekipiga Highlands Park FC ya Afrika Kusini amesema kuwa bado wanapiga matizi kama kawaida na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.

 Ligi Kuu ya Afrika Kusini imesimamishwa kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia kwa sasa.

Banda amesema kuwa:-“Tupo tunachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona na tunafanya mazoezi ili kulinda vipaji vyetu kwa makundi ila ni kwa njia ya mtandao.

“Benchi la ufundi limegawa wachezaji kwa makundi ya wachezaji watanowatano mpaka sita ambapo kila mchezaji anaona namna anavyotakiwa kufanya mazoezi yake binafsi akiwa nyumbani,”.

GUARDIOLA ANAWEZA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER CITY, SABABU YATAJWA KISA YANGA, SIMBA YAMKOMALIA CHAMA, YATAJA MUDA WA MKATABA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply