Uncategorized

YANGA WABISHI KWELI, WAIKOMALIA SIMBA KWA CHAMA

admin April 14, 2020 7:27 am


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umefikia hatua nzuri ya kuipata saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama ili akacheze ndani ya Yanga msimu ujao.

Chama amekuwa gumzo kutokana na uwezo wake ndani ya uwanja jambo ambalo limewavutia Yanga ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kuwa wamezungumza na meneja wa Chama ambaye amesema kuwa mkataba wa nyota huo umebakisha miezi sita.

“Tupo kwenye mpango wa kumpata mchezaji wa Simba na tumezungumza na Meneja ambaye amesema kuwa mteja wake ana miezi sita hivyo ikiwa tunahitaji kumpata ni suala la muda tu,” amesema.

Chanzo: Wasafi

ISHU YA NDEMLA KWENDA YANGA: KOCHA  SVEN AMALIZA UBISHI SIMBA: YANGA WAISHUKURU GSM BILA WAO KUTUFUNGA INGEKUWA NDOTO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply