Uncategorized

HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA

admin April 19, 2020 10:59 am


NDANI ya Ligi Kuu Bara ni manahodha wawili wazawa wenye mabao zaidi ya 10 kwa msimu wa 2019/20.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa ni janga la dunia.

Miongoni mwa nahodha hao ni pamoja na Paul Nonga anayekipiga Lipuli ametupia mabao 11 na pasi nne za mabao.


Mwingine anayevaa kitambaa cha unahodha na ametupia mabao zaidi ya 10 ni Relliants Lusajo anayekipiga Namungo ametupia mabao 11 na pasi tatu za mabao.

WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT TRICK PIA THAMANI YA NYOTA WA PSG SOKONI YASHUKA GHAFLA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply