Uncategorized

BANDA AWASHUKURU WATANZANIA KWA KUMTAKIA KHERI YA KUZALIWA

admin April 20, 2020 5:29 pm

ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Highlands Parks amewashukuru watazania wote ambao wamemtakia kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Banda amesherehekea sherehe yake ya kutimiza miaka kadhaa akiwa ndani kutokana na kutoruhusiwa kutoka ndani kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Banda amesema:”Nawashukuru watanzania wote ambao wamenitumia ujumbe na kunikatika kila la kheri kwenye siku yangu ya kuzaliwa na wale ambao ninaishi nao huku Afrika Kusini.

“Kwa sasa ninachukua fursa ya kusema asante ila nimeshindwa kusherehekea na wenzangu kutokana na kutoruhusiwa kutoka nje kwani tunashinda ndani kwa sasa,” .

DILI LA NYOTA ANAYEWINDWA NA YANGA PAMOJA NA SIMBA LAINGIA DOA, HAWA HAPA WAMETIBUA HAWA JAMAA 18 WANA UWEZO KINOMA ILA WAMEJENGA USHKAJI NA BENCHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply