Uncategorized

AZAM FC YACHEKELEA KUKAMILISHA UKARABATI WA UWANJA WAO

admin April 23, 2020 6:35 am
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe.
Akizungumza na SalehJembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa ubora wa uwanja huo kwa sasa ni wa kimataifa.
“Uwanja wetu ubora wake upo sawa na ule Uwanja wa TP Mazembe ya Congo kwa sasa upo hatua ya kimataifa hivyo tunajivunia kukamilisha ukarabati wetu kwa sasa.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona na wakati ukifanyiwa marekebisho Azam FC walikuwa wanatumia Uwanja wa Uhuru na Taifa kwa mechi zao za nyumbani.
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI MTUPIAJI NAMBA MOJA POLISI TANZANIA AKUBALI KUWAGA WINO YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply