Uncategorized

BEKI COASTAL UNION AWAPA MASHARTI SIMBA NA YANGA ILI AMWAGE WINO

admin April 30, 2020 2:11 am
BEKI chipukizi anayekipi

ga ndani ya Klabu ya Coastal Union Bakari Mwamnyeto amesema kuwa anachotazama kabla ya kumwaga saini ndani ya timu ni maslahi pamoja na nafasi yake ya kucheza.

Nyota huyo inaelezwa anawindwa na Yanga pamoja na Simba ambazo zinahitaji saini yake.

Beki huyo amesema hana hiyana kukipiga Kwenye Klabu hizo kwani uwezo anao. “Kwangu mimi sina hiyana ya kucheza Simba ana Yanga ila kikubwa ambacho ninakitazama ni maslahi binafsi na nafasi yangu ya kucheza,” amesema.

KUNA WINGA MKONGO AMEZUNGUMZA NA YANGA,NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply