Uncategorized

ARSENAL MAMBO BADO, MAKOCHA WATATU WAMEIFUNDISHA MPAKA SASA

admin May 6, 2020 11:29 am

MAKOCHA watatu tayari washapita ndani ya Arsenal ambayo bado haijakaa sawa kwenye mahesabu ya kutwaa taji la Ligi Kuu England.

Bosi mkubwa Arsene Wenger alidumu miaka 22 baada ya kujiuzulu, tayari makocha watatu wameifundisha timu hiyo.

Alianza Unai Emery kuifundisha alidumu miezi 18 akapigwa chini akafuata Fredrik Ljungberg na sasa ipo chini ya Mikel Arteta.


Kwenye msimamo wa Ligi Kuu England ipo nafasi ya tisa ikiwa imejikusanyia pointi 40 imecheza mechi 28.

CORONA IMEFUTA LIGI ZA NCHI HIZI HAPA MSIMU WA 2019/20 MCHEKA NYAVU NAMBA MOJA NDANI YA MBAO FC ATAJA KINACHOMBEBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply