Uncategorized

MTUPIAJI NAMBA MOJA MZAWA ANAPATA TABU KWELI

admin May 8, 2020 6:40 am


SALUM Aiyee akiwa ndani ya Mwadui FC msimu wa 2018/19 alitupia mabao 18 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni mzawa namba moja kucheka na nyavu.

Namba moja alikuwa ni mgeni wa kutoka Rwanda, Meddie Kagere ambaye alitupia mabao 23 na kwa sasa ana mabao 19.


Msimu huu Aiyee akiwa ndani ya KMC, 2019/20 ana bao moja kibindoni aliwatungua Yanga Uwanja wa Uhuru wakati KMC ikishinda bao 1-0.

Aiyee amesema msimu huu ametumia muda mwingi kutibu majeraha kuliko kucheza mpira.

ISHU YA AJIBU KUAMBIWA MVIVU KUMBE NI KITAMBO NA MWENYEWE ANAJUA AZAM FC WATOA TAMKO KUHUSU LIGI KUCHEZWA BILA MASHABIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply