Uncategorized

NYONI AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

admin May 8, 2020 10:10 am

ERASTO Nyoni, beki kiraka ndani ya Simba amewaomba watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.
Akizungumza na Saleh Jembe, Nyoni amesema kuwa janga la Corona lipo na limesimamisha mengi hivyo ni muhimu kila mmoja akachukua tahadhari.
“Muhimu kila mmoja kuongeza umakini katika kuchukua tahadhari dhidi ya Corona, janga hili lipo tusipuuzie.
“Hata mimi pia ninajali na kufuata kanuni za afya ambazo zimewekwa na wizara ya afya pamoja na Serikali ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari,” amesema Nyoni.
SON WA TOTTENHAM NOMA, AFANYA KWELI JESHINI THOMAS PARTEY ATAKA KUIBUKIA ARSENAL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply