Uncategorized

SON WA TOTTENHAM NOMA, AFANYA KWELI JESHINI

admin May 8, 2020 10:10 am


MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur, Heung-Min Son, amefanikiwa kumaliza mafunzo ya kijeshi huko kwao Korea Kusini.

Katika mafunzo hayo ya wiki tatu, mshambuliaji huyo tegemo wa Tottenham na taifa lake la Korea Kusini, amemaliza katika nafasi tano za juu kati ya watu 157.
Son alikuwa katika kambi ya jeshi la majini iliyopo Kusini mwa Kisiwa cha Jeju. Mafunzo hayo yalianza Aprili 20, mwaka huu.


ALIYETAKA KUMTEGUA NYONGA MANULA ATUMA UJEMBE HUU NYONI AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply