Uncategorized

BEKI TEGEMEO NDANI YA KIKOSI CHA AZAM FC ASAMEHE WAPANGAJI WAKE KODI

admin May 13, 2020 12:11 pm
NICOLAS Wadada beki chagu

o la kwanza ndani ya kikosi cha Azam FC amewasamehe wapangaji wake kodi kutokana na kupitia wakati mgumu wa kupambana  na janga la Virusi vya Corona.

Wadada ambaye ni raia wa Uganda  amesema kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na agizo la Serikali ambayo imewaomba wamiliki kufanya hivyo.

Taarifa iliyotolewa Kwenye Ukurasa rasmi wa Instagram wa Azam imeeleza kuwa beki huyo ameamua kuwasamehe kodi wapangaji wake.

 “Nina nyumba ambayo niliwapangisha wapangaji na ilikuwa inaniingizia kipato ila kutokana na agizo la Serikali kutaka tuwasamehe kodi wapangaji kutokana na janga la Virusi vya Corona nami nimefanya hivyo,” .

BMT WAANZA MCHAKATO WA KUKUSANYA MAONI KUHUSU UKOMO WA WACHEZAJI WA KIGENI MAMBO BADO SIO SHWARI LAKINI LAZIMA KUJIPANGA NA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply