Uncategorized

JUMA NYOSSO BADO WAMO NDANI YA UWANJA

admin May 14, 2020 5:12 am
JUMA Nyosso nah

odha wa Kagera Sugar ni miongoni mwa mabeki ambao wapo Makini ndani ya Uwanja muda wote huku akitoa majukumu kwa vijana wake naye akitimiza pia.

Kagere Sugar iliyo chini ya mzawa Mecky Maxime imecheza jumla ya mechi 29 ipo nafasi ya nane.

Safu ya ulinzi iliyo chini yake akiwa ni beki mkongwe imeruhusu mabao 31 ya kufungwa ndani ya dakika 2,610.

Ina wastani wa kuruhusu bao moja kila baada ya dakika 84.

Safu ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 36 ina wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 72.

Timu ambayo imeruhusu mabao mengi kwa msimu huu ni Singida United ambayo ikiwa imecheza mechi 29 imefungwa mabao 49 ikiwa na wastani wa kufungwa bao moja kila baada ya dakika 53.

OZIL KIUNGO FUNDI WA ARSENAL AJITOA KWA AJILI YA JAMII PJANIC, NYOTA JUVENTUS AGOMEA DILI LA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply