Uncategorized

MKE AMTWANGIA SIMU MCHEZAJI AKIWA UWANJANI

admin May 17, 2020 4:28 am


PETER Crouch nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya England amesema kuwa mkewe alikuwa hapendi kuskia kitu kinaitwa mpira wa miguu. 

Nyota huyo aliyekipiga pia ndani ya Klabu za Liverpool na Stoke City ambaye sifa yake kubwa ilikuwa ni urefu na mbaya kumalizia mipira ya juu anasema kuwa aliwahi kupigiwa simu na mkewe kabla ya mechi kuanza.

Abbey Clancy ambaye ndiye ubavu wake alimtwangia simu akiwa uwanjani na kumuuliza yupo wapi. 

“Mke wangu hapendi kitu kinaitwa mpira wa miguu. Siku moja alinipigia simu dakika 10 kabla ya mpira kuanza na kuniuliza nipo wapi?”

NYOTA HAWA WATANO WAKUBALI KUMWAGA WINO JUMLAJUMLA SIMBA MAMBO MAGUMU KWA SAID NDEMLA NDANI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply