Uncategorized

ISHU YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI YAMVUTA KIGOGO TAKUKURU

admin May 19, 2020 5:47 pm


KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wilfred Kidau amehojiwa leo na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (Takukuru).

Kidau alionekana akiingia ofisini majira ya saa tatu dk 42 na alitoka saa tano dk 14

Inaelezwa kuwa sababu ya kuitwa Takukuru ni kuhojiwa kutokana na matumizi ya Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa kwa ajili ya AFCON 2019 ya vijana.

TFF ilidai kuwa fedha hizo zilizotolewa na Rais Magufuli hazikuingia katika akaunti zao.

DILI LA SIMBA NA MSHAMBULIAJI MGHANA WA ASANTE KOTOKO LIMEISHA KWA MTINDO HUU GSM WANAKUJA NA KITU KIPYA HUKO YANGA SC, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply