Uncategorized

ZANA COULIBARY ATAKA KUREJEA BONGO

admin May 19, 2020 11:47 am


INAELEZWA kuwa Zana Coulibary nyota wa zamani wa Simba amevunja mkataba na mabosi wake AS Vita ya Congo.

Zana alikipiga ndani ya Simba il iliyotinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19 aliibukia AS Vita ambao waliona uwezo wake alipomenayana nao kwenye mechi hizo za kimataifa.

Habari zinaeleza kuwa hesabu zake ni kurejea Bongo tena kukipiga na timu anazozitaka ni Azam FC na Yanga.

HIZI HAPA MECHI ZILIKUWA NA REKODI ZA MABAO MENGI KWA TIMU MOJA MSIMU HUU WA 2019/20 HII HAPA MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply