Uncategorized

MESSI:CORONA IMETIBUA SHANGWE YA KUTWAA UBINGWA

admin May 21, 2020 5:47 am


RAMADHAN Singano, ‘Messi’ nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe amesema  kuwa janga la Corona limetibua shangwe za ubingwa ambao wameutwaa hivi karibuni.

Mazembe ilitangazwa kubeba ubingwa na Shirikisho la Soka nchini humo kutokana na janga la Virusi vya Corona kuivuruga vuruga dunia.

Akizungumza na Saleh Jembe, Messi amesema kuwa wamefurahi kutwaa ubingwa ila hakukuwa na shangwe kubwa kutokana na Corona.

“Tumefurahi kutwaa ubingwa ila hakukuwa na shangwe kutokana na janga la Virusi vya Corona kwani hakuna mikusanyiko inayoruhusiwa,” amesema.

Messi yupo pamoja na rafiki zake wawili ambao ni Eliud Ambokile na Thomas Ulimwengu wakiipeperusha bendera ya Tanzania nchini Congo.

HAYA HAPA MAJINA YALIYOPO MEZANI MWA MABOSI WA SIMBA KWA AJILI YA KUWAPA DILI MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply