Uncategorized

LIGI KUU KUCHEZWA KWA VITUO, ISHU YA MASHABIKI IPO NAMNA HII

admin May 22, 2020 9:47 am


Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar.

Huku Ligi Daraja lA kwanza na Ligi Daraja lA Pili kituo kitakuwa ni Mwanza hivyo timu zote  zinatatakiwa kwenda Mwanza.

Michezo yote Itachezwa bila Mashabiki ila kikundi cha Mashabiki wasio zidi 20 wanaruhusiwa.

ISHU YA LIGI KUU BARA KUREJEA, SIMBA YATOA TAMKO ARSENAL YAMPIGIA HESABU BEKI WA DORTMUND

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply