Uncategorized

PICHA LA LIGI KUU BARA LITACHEZWA NAMNA HII

admin May 22, 2020 12:47 pm


MWENDELEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zitacheza mechi za viporo
Ligi itachezwa kwa muda wa mwezi mmoja na kwa siku zitachezwa mechi tano saa 8,10,12 na saa 2 usiku ambapo mbili Chamazi, mbili Uhuru na moja Taifa.


Wadhamini wa Ligi watachangia kidogo ila timu zitajigharamia kwa asilimia kubwa gharama za kukaa Dar kwa kipindi chote cha kumalizia Ligi ambapo kila baada ya raundi moja kumalizika kutakuwa na mapumziko ya siku mbili.

Kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za viporo kumalizika



HATA KAMA FEDHA ZIPO, YANGA ISIFANYE TENA KOSA LA KUSAJILI TIMU MPYA… MTIBWA SUGAR YAPOKEA TAMKO LA MAGUFULI KWA MIKONO MIWILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply