Uncategorized
HIKI NDICHO KILICHOZINDULIWA SAA SABA MCHANA SIMBA
admin
May 23, 2020
11:47 am
UONGOZI wa Klabu ya Simba leo umezindua Website yake rasmi (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake.
Tovuti hiyo imezinduliwa rasmi leo saa saba mchana kama ambavyo walitangaza awali kuwa watakuwa na jambo lao.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.