Uncategorized

SIMBA KUANZA HESABU ZA KUFUKUZIA UBINGWA MEI 27

admin May 25, 2020 1:47 pm


KLABU ya Simba ambao ni mabingwa watetezi, Mei 27 wanatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kutetea taji lao la ligi pamoja na kulisaka Kombe la Shirikisho.

Mazoezi hayo watayafanyia Mo Simba Arena yenye viwanja viwili vya nyasi za bandia na asilia.

 Ligi Kuu Tanzania Bara ilisimamishwa Machi 17 kutokana na janga la Virusi vya Corona inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni Mosi.

Mechi zote za ligi zitachezwa Dar ambapo viwanja vitatu vitatumika ule wa Uhuru, Azam Complex na Taifa.

HIKI HAPA KIKOSI MATATA KABLA YA JANGA LA CORONA, NYOTA HAWA WALICHANGANYA SANA MAJALADA WAKATI WA USAJILI WAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply