Uncategorized

HUYU NDIYE LACAZETTE KAMA LACAZETTE

admin May 30, 2020 10:47 am


ALEXANDRE Lacazette nyota wa Arsenal aliletwa duniani Mei 28, 1991 ametimiza miaka 29 juzi Mei 28.

Jezi yake mgongoni ni namba 9, alijiunga na Klabu hiyo 2017 akitokea Lyon alikocheza mechi 203 na alifunga mabao 100.

Tangu msimu wa 2017 mpaka sasa ndani ya Arsenal amekuwa na ushkaji mkubwa na nahodha wake Aubameyang, amecheza mechi 87 na kufunga mabao 34.


Timu yake ipo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 28.

SVEN: TARATIBU WACHEZAJI WATAREJEA KWENYE UBORA JAMES KOTEI ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA MIAKA MIWILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply