Uncategorized

TSHABALALA AFICHUA KILICHO NYUMA YA UBORA WAKE

admin June 2, 2020 8:47 am

MOHAMED Hussein, ‘Tshabalala’ ni mzawa ndani ya kikosi cha mabingwa ambaye amekuwa kwenye ubora wake kwa muda wa misimu mitano alipojiunga na Klabu ya Simba msimu wa 2014.
Tshabalala ni zao la Azam FC ambapo amedumu kuanzaia msimu wa 2014/15, 2015/16,2016/17,2017/18,2018/19 na sasa msimu wa 2019/20. 
Simba ikiwa imefunga mabao 63 amehusika kwenye mabao manne licha ya kuwa ni beki akisema kuwa yote ni kutokana na kujituma kwa ajili ya kuona timu yake inapata matokeo.
Amefunga mabao mawili na kutoa pasi mbili za mabao ambapo mabao yake yote mawili amezifunga timu zenye majina ya Sugar.
Aliwatungua Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba bao lake la kwanza msimu huu kwa pasi ya Meddie Kagere na bao lake la pili aliwatungua Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri kwa pasi ya Jonas Mkude.

Tshabalala amesema kuwa sababu kubwa ya kuwa bora ni juhudi pamoja na kujituma bila kuchoka.
DUH! SALAH KWA MASHUTI YALILONGA LANGO ANAKIMBIZA KWELI HUU NDIO MUONGOZO WA SERIKALI KWA MASHABIKI KUHUSU KURUHUSIWA KWENDA UWANJANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply