Uncategorized

DUH! SALAH KWA MASHUTI YALILONGA LANGO ANAKIMBIZA KWELI

admin June 2, 2020 5:47 am


MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool amepiga mashuti mengi zaidi yaliyolenga lango kuliko wachezaji wote kwenye Premier msimu huu wa 2019/20.

Iwapo yangejaa nyavuni angekuwa na jumla ya mabao 43 kwa sasa kwani ndiyo idadi ya mashuti yaliyolenga lango.

Amefunga jumla ya mabao 16 na kutoa pasi sita za mabao msimu huu akiwa ndani ya Liverpool.

Ametumia dakika 2,246 akiwa ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 140.

MBAPPE BWANA ALIWAHI KUOKOA PENALTI NJE YA 18 TSHABALALA AFICHUA KILICHO NYUMA YA UBORA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply