Uncategorized

FEI TOTO NA MORRISON WAKINUKISHA, JUMAPILI YANGA NA KIBARUA KINGINE

admin June 5, 2020 4:47 am


KLABU ya Yanga imeanza kutesti mitambo yake kwanza kabla ya kukutaa na Mwadui FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Juni 13 Uwanja wa Kambarage.

Mechi mazoezi ya kwanza, Yanga wameshinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Transit Camp inayomilikiwa na Jeshi.

Mechi hiyo ya kirafiki imechezwa kwenye Uwanja wa Chuo Cha Sheria jijini Dar es Salaam, jana.


Mabao ya Yanga yalipachikwa kimiani na Bernard Morrison, Feisal Toto na Mrisho Ngassa.


Jumapili wana kibarua kingine tena cha kumenyana na KMC mchezo wa kirafiki unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru.

YANGA YASTUKA DILI LA MAKAMBO, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply