Uncategorized

KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO

admin June 8, 2020 5:47 pm

Na Saleh Ally

NINAAMINI mechi ya kirafiki dhidi ya KMC jana imekuwa na faida kubwa sana kwa Yanga na hasa benchi la ufundi.

Kwa mashabiki kimekuwa kitu cha kuumiza moyo lakini ule ndio uhalisia, kikosi chao kinalazimika kufanya kazi ya ziada kusimama na KMC wamekuwa kipimo bora kabisa.

Jiulize Yanga wangeingia kwenye ligi kabla ya kucheza na KMC?! SASA KINACHOTAKIWA KUFANYA… Yanga wawaachie kazi benchi la ufundi kubadilisha mambo maana Mkwasa naye amekiri udhaifu na hasa stamina na hata pumzi ya kutosha lakini pia tumejifunza kuwa wachezaji hawakuwa SIRIAZ wakati wa mapumziko.

KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC AJIBU AMERUDI,AFUNGA BAO LA KIDEO SIMBA IKISHINDA MABAO 3-1 MBELE YA KMC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply