Uncategorized

KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC

admin June 8, 2020 2:47 pm


MCHEZO wa kirafiki kati ya Simba na KMC Uwanja wa Simba Mo Arena kwa sasa ni kipindi cha pili.

KMC ilianza kufunga bao la kwanza kupitia kwa Charles Ilanfya na Simba walisawazisha kupitia kwa John Bocco.

Mashabiki wamejiokeza kwa wingi kushuhudia burudani ambayo waliikosa tangu Machi 17. 

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA KMC MCHEZO WA KIRAFIKI KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply