Uncategorized

MBEYA CITY YATOSHANA NGUVU NA TANZANIA PRISONS

admin June 10, 2020 9:47 am

MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.

Mechi hiyo maalumu kwa ajili ya kujipima nguvu imechezwa Uwanja wa Sokoine Mbeya.

Mbeya City iliyo chini ya Amri Said inapambana kurejesha makali ili kuendelea pale ilipoishia kwani ipo kwenye hatari ya kushuka daraja.

Tanzania Prisons iliyo chini ya Adolf Rishard malengo yao ni kumaliza ndani ya tano bora.

SIMBA YAENDELEA KUTOA TAHADHARI NA SOMO KWA MASHABIKI KUHUSU CORONA FAINALI YA KOMBE LA FA KUPIGWA SUMBAWANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply