Uncategorized

HAJI MANARA ATAJA SIKU YA KUACHA KAZI NDANI YA SIMBA

admin June 11, 2020 6:47 am


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa ataacha kazi yake ndani ya klabu hiyo siku Yanga itakapochukua ubingwa.

Manara amesema kuwa kikosi chao kipana na kina uwezo wa kushindana ndani ya ligi jambo ambalo linampa nguvu ya kuongea hayo.

“Siku ambayo Yanga itachukua ubingwa ndiyo siku ambayo nitaacha masuala ya kuwa Msemaji wa Simba,” amesema Haji. 

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28 za ligi.

Chanzo: Wasafi

HALI YA MKUDE BADO HAIJAWA SHWARI, KOCHA HAELEWI ATAREJEA LINI UWANJANI JONAS MKUDE AFUNGUKA HALI YAKE ..AWAOMBA MASHABIKI KUMUOMBEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply