Uncategorized

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA RUVU SHOOTING

admin June 13, 2020 7:47 am


LUIS Miquissone, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema
mazoezi waliyofanya kwa muda wa wiki mbili yatawasaidia kupata matokeo chanya mbeke ya Ruvu Shooting.

Kesho Juni 14, Simba itamenyana na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Raia huyo wa Msumbiji amesema kila kitu kipo sawa na wataingia uwanjani kwa kupambana kwa kuwa walikosa mechi ya ushindani kwa muda mrefu.

“Tupo tayari kwa ushindani na mchezo nina amini utakuwa mgumu, kikubwa mashabiki wajitokeze kuona burudani kwani tulishindwa kutoa burudani kwa muda mrefu,”.

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28, imetupia mabao 68.

RONALDO WA JUVENTUS AKOSA PENALTI, TIMU YAKE YATINGA HATUA YA FAINALI MTAMBO WA KAZI WAUNGANA NA WENZAKE NDANI YA KIKOSI CHA AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply