Uncategorized

BUKAYO SAKA AONGEZA DILI REFU NDANI YA ARSENAL

admin July 1, 2020 12:47 pm


BUKAYO Saka, nyota wa timu ya Arsenal amesema kuwa anafurahi kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo kwa kuwa ni nyumbani na anapenda kuendelea kubaki hapo.

Ripoti zinaeleza kuwa Arsenal wamempa dili refu nyota huyo huku miaka aliyoongeza ikiwekwa kibindoni ili abaki ndani ya kikosi hicho.

Nyota huyo mwenye miaka 18 yupo tayari kuendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Kocha Mkuu Mikel Arteta.

Kabla ya kuongeza dili jipya nyota huyo alikuwa anawindwa na Liverpool, Manchester United pamoja na Bayern Munich.

Arteta amesema kila siku nyota huyo amekuwa bora kila wakati ndani ya Uwanja.

MASHINE HII HAPA YA KAZI NDANI YA SIMBA KUIBUKIA TAIFA LEO, NI FUNDI WA KUPIGA MASHUTI YA MBALI DStv YAJA NA DATE MY FAMILY, KESHO JULAI 2 KINAANZA RASMI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply