Uncategorized

SERGIO RAMOS BONGE MOJA YA BEKI NA MAKADI YAKE KIBAO KIBINDONI

admin July 1, 2020 2:47 am


SERGIO Ramos, beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Real Madrid anatajwa kuwa miongoni mwa mabeki bora ambao wanacheza mpira kwa sasa duniani.

Beki huyo amekuwa kwenye ubora wake kwa muda mrefu huku ikielezwa kuwa yeye ndiye ameshika ufunguo wa ubingwa wa La Liga kwa msimu huu wa klabu hiyo ambayo inapambania kombe vikali na Barcelona.

Ndani ya uwanja amekuwa na rekodi nyingi nzuri ila mbali na kuwa bora ana rekodi ya kuwa mchezaji aliyeonyeshwa kadi nyingi uwanjani.

Kibindoni ana jumla ya kadi 187  ambazo ameonyeshwa kwenye maisha yake ya soka akiwa kwenye harakati za kupambana.


Ambapo ameonyeshwa jumla ya kadi 167 za njano na 20 nyekundu hiyo ni ndani ya La Liga pekee.

MORRISON AWAKIMBIZA MAKOMANDOO YANGA USIKU, BALAA LA SIMBA ACHA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO KADI NYEKUNDU YA AWESU AWESU YAMSHANGAZA NDANI YA UWANJA, AFUNGUKA MCHEZO ULIVYOKUWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply