Uncategorized

SHIBOUB ATUA BONGO, ANAWACHEKI SIMBA WAKIPAMBANA NA AZAM FC

admin July 1, 2020 5:47 pm

SHARAF Shiboub kiungo wa Simba raia wa Sudan Sudan ametua ndani ya ardhi ya Tanzania akitokea nchini kwao alikokuwa baada ya masuala ya michezo kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona. 

Hakukuwa na mechi ya ushindani tangu Machi 17 baada ya Serikali kusimamisha masuala ya michezo kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Shiboub alichelewa Kurejea nchini kutokana na Serikali ya Sudan kufunga mipaka ya nchi hiyo.

Shiboub ndani ya Ligi Kuu Bara amefunga mabao mawili na kutoa pasi sita za mabao kati ya mabao 69.

LIVE:SIMBA 1-0 AZAM FC, UWANJA WA TAIFA SIMBA YAIFUNGA AZAM FC MABAO 2-0, SASA KUKUTANA NA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply