Uncategorized

SportPesa YAIKABIDHI SIMBA ZAWADI YA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 100

admin July 2, 2020 10:47 am


WADHAMINI wakuu wa Simba, kampuni ya SportPesa leo wameikabidhi timu hiyo zawadi ya hundi ya Shilingi milioni 100.

Zawadi hiyo ni baada ya Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.

Fedha hizo ni sehemu ya makubaliano ya mkataba ambao waliingia nao Simba wakati wa kusaini mwaka 2017.

Simba imetwaa ubingwa ikiwa na mechi sita mkononi baada ya kucheza mechi 32 na kibindoni ina pointi 79.

Sherehe za kukabidhiwa ubingwa rasmi zitafanyika Julai 8, Uwanja wa Majaliwa ambapo watakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC.

EYMAEL – KWA SIMBA HII..KUNA MUDA INABIDI KUKUBALI TU..!! RASMI JULAI 12 TAIFA SIMBA KUKINUKISHA NA YANGA BAADA YA KUMALIZANA NA AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply