KIPINDI cha Kwanza Uwanja wa Karume.
Biashara United 0-0 Yanga
Zimeongezwa dakika 3
Dakika 45 zimekamilikaDk 44 Redodo anafanyiwa faulo Juma Abdul anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 36 Yanga wanapata kona
Dakika ya 31 Biashara United walipata faulo haijazaa matunda
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani Uwanja wa Karume, Mara.






