Uncategorized

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOWAVAA SIMBA KESHO, MOLINGA NDANI

admin July 11, 2020 7:47 am


KESHO Uwanja wa Taifa, Julai 12 kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba na Yanga wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho.

Yanga ilitinga hatua hiyo baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa.

Kwa mujibu wa Championi Jumatano wamewapa nafasi wachezaji hawa hapa wa Yanga kuwa wataanza kwenye kikosi cha kwanza kesho:-

Metacha Mnata

Jaffar Mohamed

Juma Makapu


Lamine Moro

Juma Abdul

Haruna Niyonzima

Fei Toto

Kelvin Yondani

Bernard Morrison

Ditram Nchimbi


David Molinga

JESHI KAMILI LA SIMBA LINALOTARAJIWA KUWAVAA YANGA KESHO TAIFA HILI HAPA, SHAMTE NDANI TIMU ZA LIGI KUU ENGLAND ZAPEWA ONYO ISHU YA KANUNI ZA AFYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply