Uncategorized

HUYU HAPA ANATARAJIWA KUKAA LANGONI MWA YANGA LEO KUZUIA MICHOMO YA SIMBA

admin July 12, 2020 12:47 pm

METACHA Mnata mlinda mlango namba mbili wa Yanga leo anatarajiwa kukaa langoni wakati Yanga itakapomenyana na Simba Uwanja wa Taifa. 

Amecheza jumla ya mechi 17 na ana clean sheet mbili kwenye Kombe la Shirikisho ambapo alikaa langoni mechi tatu. 

Mnata amekuwa akiaminiwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael ambapo kwenye dabi ya Machi 8 Uwanja wa Taifa Mnata alikaa langoni.

Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kushinda bao 1-0 huku mzawa huyo akiokoa michomo ya mtupiaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere na nahodha John Bocco.

SIMBA:ITAKUWA NI MAAJABU KWELI KUFUNGWA NA YANGA TAIFA HIZO REKODI ZA NYOTA WA SIMBA V YANGA NI BALAA TUPU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply