Uncategorized

BREAKING: KAGERE APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA MWEZI MACHI

admin July 13, 2020 1:47 pm


MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Simba Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20.

 Kagere alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Paulo Nonga wa Lipuli  na Never Tigere wa Azam FC alioingia nao fainali.

Kagere ametupia jumla ya mabao 19 na anaongoza kwenye ligi huku Nonga akiwa na mabao 11.

BREAKING:MANCHESTER CITY YASHINDA RUFAA YAKE YA KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA BREAKING:HERERIMANA WA KMC AWAPIGA CHINI SVEN NA ADAM

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply