Uncategorized
TIMU 12 UWANJANI LEO KUSAKA POINTI TATU, CHEKI RATIBA ILIVYO, YANGA,KAGERA SUGAR PIA KAZINI
Leo Julai 15 Ligi Kuu Bara inaendelea Kwenye viwanja sita tofauti ambapo timu 12 zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Mtufuano mzima wa kusaka ushindi utakuwa namna hii:-
JKT Tanzania v Alliance FC, Uwanja wa Jamhuri.
Mtibwa Sugar v Azam FC, Uwanja wa Gairo.
Yanga v Singida United, Uwanja wa Taifa.
Namungo v Mbeya City, Uwanja wa Majaliwa.
Ndanda v Tanzania Prisons, Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Mechi zote zinatarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.