Uncategorized
BEKI SIMBA APATA DILI UJERUMANI MWAKA MMOJA
admin
July 21, 2020
2:47 pm
EMILLY Mugeta beki wa zamani wa Simba amepata dili la kujiunga na Klabu ya Freiburger FC.
Nyota huyo, raia wa Tanzania amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ndani ya Klabu hiyo akitokea timu ya SV Endingen.
Timu aliyosaini nyota huyo inashiriki Ligi Daraja la Tano nchini Uingereza.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.