Uncategorized

JAMIE VARDY YEYE NI NYAVU TU EPL

admin July 24, 2020 2:47 pm

JAMIE Vardy mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya Leicester City ni moto wa kuotea mbali kwa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu England. 

Amefunga jumla ya mabao 23 na kutoa jumla ya pasi 5 zilizoleta mabao ndani ya timu hiyo.

Ametumia jumla ya dakika 2,944 ndani ya Uwanja na ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 128.

Anafuatiwa na Danny Ings wa Southampton mwenye jumla ya mabao 21 akiwa ametumia dk 2,722 akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 130.

EYMAEL NYOTA WAKE WAWILI WAMPASUA KICHWA VITA YA KUSHUKA DARAJA BADO MBICHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply