Uncategorized

DUCHU WA LIPULI AMALIZANA NA SIMBA, AJIFUNGA MIAKA MIWILI

admin July 31, 2020 10:47 am

DAVID Kameta,’Duchu’ beki wa Klabu ya Lipuli FC inaelezwa kuwa amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya Simba.


Beki huyo msimu huu amekuwa kwenye ubora wake ndani ya Lipuli ambapo amefunga mabao matatu na kutoa pasi saba za mabao.

Timu yake ya Lipuli imeshuka daraja baada ya kufikisha pointi 44 ikiwa nafasi ya 18 hivyo msimu ujao itashiriki Ligi Daraja la Kwanza.



HIVI DIVYO YANGA ITAKAVYOMTABULISHA JAMES KOTEI AGOSTI 9, NYOTA WENGINE 9 NDANI YANGA YAGONGANA NA AZAM FC ZAKUTANA KWA KIPA WA KAGERA SUGAR KUSAKA SAINI YAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply