Uncategorized

BREAKING: MAJINA MENGINE SABA YANGA HAYA HAPA WAPO KWENYE MAZUNGUMZO KUSITISHA MKATABA WAO

admin August 3, 2020 3:47 pm


UONGOZI wa Yanga imeelezwa kuwa upo kwenye mazungumzo na nyota wake saba ambao bado wana mkataba na timu hiyo ili waweze kusitisha nao mikataba.

Nyota hao ni pamoja na:-Alli Mtoni,’Sonso’, ambaye ni beki ingizo jipya kutoka Lipuli, Muharam Issa, Alli Alli ambaye ni beki naye ni ingizo jipya kutoka KMC.

 Yikpe Gnamien mshambuliaji mwili jumba ingizo jipya kutoka Gor Mahia, Patrick Sibomana mshambuliaji raia wa Rwanda, Erick Kabamba kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji na Rafael Daud mzawa mshambuliaji.

HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 15, UHAKIKA KUPIGA YANGA 2020/21, MORRISON NDANI ISHU YA WAKONGWE JUMA ABDUL NA KELVIN YONDANI IPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply