Uncategorized

ISHU YA WAKONGWE JUMA ABDUL NA KELVIN YONDANI IPO HIVI

admin August 3, 2020 3:47 pm


KELVIN Yondani na nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Yanga ili waongeze muda wa kuitumikia klabu hiyo.

Wakongwe hao mikataba yao muda wao ndani ya Yanga umeisha hivyo uongozi unazungumza nao ili wabaki ndani ya kikosi hicho.

Yondani amekuwa ni mkongwe kwa muda mrefu na amekuwa  akionyesha uzoefu wake ndani ya uwanja.

Abdul, amezidi kuwa kwenye ubora wake ambapo msimu huu ametoa jumla ya pasi sita za mabao kwa guu lake la kulia.

BREAKING: MAJINA MENGINE SABA YANGA HAYA HAPA WAPO KWENYE MAZUNGUMZO KUSITISHA MKATABA WAO HAWA HAPA WANAWANIA TUZO VPL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply