Uncategorized

KIUNGO ‘ALIYEJIFUNGA’ MIAKA MINNE YANGA ANA TUZO MKONONI

admin August 10, 2020 9:47 pm

 Feisal Salum kiungo ndani ya Klabu ya Yanga kwa mujibu wa Injinia Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu hiyo amesema kuwa ameongeza mkataba wa miaka minne.
Kwa maana hiyo Feisal atakuwa ni mali ya Yanga mpaka 2024 kwa timu itakayokuwa inasaka saini yake lazima ijipange kuweka mkwanja mezani.

Kwa msimu wa 2019/20, Feisal amekuwa bora ndani ya Ligi Kuu Bara akianza kikosi cha Kwanza kwenye jumla ya mechi 22.

Ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Yanga aliyokabidhiwa na wadhamini wakuu wa Klabu hiyo, kampuni ya SportPesa.

Amefunga bao moja ndani ya ligi msimu huu ilikuwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Mwadui FC kwenye sare ya kufungana bao 1-1.

HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WALIOANZA MAZOEZI, LEO KUENDELEA TENA NYOTA HUYU ALIYEKIPIGA ULAYA YUPO MBIONI KUTANGAZWA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply