Uncategorized
BREAKING:MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA
Bernard Morrison ameshinda kesi yake leo kuhusu mkataba wake
Kamati imeeleza kuwa kulikuwa na mapungufu Kwenye Ukurasa wa saini kukutwa umekatwa ni baadhi ya vitu ambavyo vina mapungufu vimeonekana.
Pia tofauti Kwenye tarehe ambapo moja inaonyesha kuwa alisaini tarehe 20 mwezi tatu na mwingine unaonyesha tarehe tofauti

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.