Uncategorized

WATATU KUITWA KAMATI YA MAADILI ISHU YA MORRISON, BUMBULI NAYE ANA JAMBO LAKE

admin August 14, 2020 2:47 pm

 

KUTOKA Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) wana familia watatu kwenye michezo watapewa malalamiko yao na wito kwa njia ya maandishi ili kuhuduhuria kikao cha Kamati ya Maadili, wanafamilia hao ni:-Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Zakaria Hans Poppe, Mkuu wa Idara ya Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara na mchezaji Bernard Morrison.


Pia Sekretarieti ya TFF imempeleka Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli katika Kamati ya Maadili kwa kutoa taarifa ya uongo.  

BREAKING:ONYANGO BEKI WA GOR MAHIA ATAMBULISHWA SIMBA HUYU HAPA APEWA MIKOBA YA EYMAEL NDANI YA YANGA KWA SASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply