Uncategorized

BREAKING:ONYANGO BEKI WA GOR MAHIA ATAMBULISHWA SIMBA

admin August 14, 2020 2:47 pm

 

JOASH Onyango, nyota wa zamani wa Klabu ya Gor Mahia leo ametambulishwa rasmi ndani ya Klabu ya Simba.

Onyango raia wa Kenya amefanya kazi kwa ukaribu na Francis Kahata alipokuwa ndani ya Gor Mahia jambo linaloongeza ukaribwa wa familia hizo mbili kikazi ndani ya Simba.

 Onyango alikuwa anapakaa rangi nywele na ndevu zake, sasa amekuja na muonekano wa tofauti kivingine tayari kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2020/21.

Habari zinaeleza kuwa beki huyo amesaini dili la miaka miwili.

YANGA WAMKOMALIA MORRISON, LENGO LAO KWENDA CAS LIPO PALEPALE WATATU KUITWA KAMATI YA MAADILI ISHU YA MORRISON, BUMBULI NAYE ANA JAMBO LAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply